Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Zaburi 124:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

2 Kama si BWANA aliyekuwa pamoja nasi, Wanadamu walipotushambulia.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

2 “Kama Mwenyezi-Mungu asingalikuwa upande wetu, wakati ule tuliposhambuliwa na maadui,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

2 “Kama Mwenyezi-Mungu asingalikuwa upande wetu, wakati ule tuliposhambuliwa na maadui,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

2 “Kama Mwenyezi-Mungu asingalikuwa upande wetu, wakati ule tuliposhambuliwa na maadui,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

2 kama Mwenyezi Mungu hangekuwa upande wetu, watu walipotushambulia,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

2 kama bwana asingalikuwa upande wetu, wakati watu walipotushambulia,

Tazama sura Nakili




Zaburi 124:2
8 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa maana mbwa wamenizunguka; Kusanyiko la waovu wamenisonga; Wamenidunga mikono na miguu.


BWANA, watesi wangu wamezidi kuwa wengi, Ni wengi wanaonishambulia,


Ni wengi wanaoiambia nafsi yangu, Hana wokovu huyu kwa Mungu.


Mtu asiye haki humvizia mwenye haki, Na kutafuta jinsi ya kumwua.


Kwa msaada wa MUNGU nitalisifu neno lake. Kwa msaada wa BWANA nitalisifu neno lake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo