Zaburi 122:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 Ee Yerusalemu uliyejengwa Kama mji ulioshikamana, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Yerusalemu, mji uliojengwa, ili jumuiya ikutane humo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Yerusalemu, mji uliojengwa, ili jumuiya ikutane humo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Yerusalemu, mji uliojengwa, ili jumuiya ikutane humo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Yerusalemu imejengwa vyema kama mji ulioshikamana pamoja. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Yerusalemu imejengwa vyema kama mji ambao umeshikamanishwa pamoja. Tazama sura |