Zaburi 121:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC7 BWANA atakulinda na mabaya yote, Atakulinda nafsi yako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Mwenyezi-Mungu atakukinga na baya lolote; atayalinda salama maisha yako. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Mwenyezi-Mungu atakukinga na baya lolote; atayalinda salama maisha yako. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Mwenyezi-Mungu atakukinga na baya lolote; atayalinda salama maisha yako. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Mwenyezi Mungu atakukinga na madhara yote, atayalinda maisha yako, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 bwana atakukinga na madhara yote, atayalinda maisha yako, Tazama sura |