Zaburi 121:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 BWANA ndiye mlinzi wako; BWANA ni uvuli katika mkono wako wa kulia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Mwenyezi-Mungu ni mlinzi wako; yuko upande wako wa kulia kukukinga. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Mwenyezi-Mungu ni mlinzi wako; yuko upande wako wa kulia kukukinga. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Mwenyezi-Mungu ni mlinzi wako; yuko upande wako wa kulia kukukinga. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Mwenyezi Mungu anakulinda, Mwenyezi Mungu ni uvuli wako mkono wako wa kuume, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 bwana anakulinda, bwana ni uvuli wako mkono wako wa kuume, Tazama sura |