Zaburi 121:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 Naam, hatasinzia wala hatalala, Yeye aliye mlinzi wa Israeli. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Kweli mlinzi wa Israeli hasinzii wala halali. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Kweli mlinzi wa Israeli hasinzii wala halali. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Kweli mlinzi wa Israeli hasinzii wala halali. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 hakika, yeye alindaye Israeli hatasinzia wala hatalala usingizi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 hakika, yeye alindaye Israeli hatasinzia wala hatalala usingizi. Tazama sura |