Zaburi 120:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 Akupe nini, akuzidishie nini, Ewe ulimi wenye hila? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Enyi watu wadanganyifu, mtapewa kitu gani? Mtaadhibiwa namna gani? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Enyi watu wadanganyifu, mtapewa kitu gani? Mtaadhibiwa namna gani? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Enyi watu wadanganyifu, mtapewa kitu gani? Mtaadhibiwa namna gani? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Atakufanyia nini, au akufanyie nini zaidi, ewe ulimi mdanganyifu? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Atakufanyia nini, au akufanyie nini zaidi, ewe ulimi mdanganyifu? Tazama sura |