Zaburi 120:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC2 Ee BWANA, uniponye Na midomo ya uongo na ulimi wa hila. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Uniokoe ee Mwenyezi-Mungu, na watu wadanganyifu na waongo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Uniokoe ee Mwenyezi-Mungu, na watu wadanganyifu na waongo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Uniokoe ee Mwenyezi-Mungu, na watu wadanganyifu na waongo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Ee Mwenyezi Mungu, uniokoe kutoka midomo ya uongo na ndimi za udanganyifu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Ee bwana, uniokoe kutoka midomo ya uongo na ndimi za udanganyifu. Tazama sura |