Zaburi 12:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC6 Maneno ya BWANA ni maneno safi, Ni fedha iliyojaribiwa kalibuni juu ya nchi; Iliyosafishwa mara saba. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Neno la Mwenyezi-Mungu ni safi, safi kama fedha iliyosafishwa katika tanuri, naam, kama fedha iliyosafishwa mara saba. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Neno la Mwenyezi-Mungu ni safi, safi kama fedha iliyosafishwa katika tanuri, naam, kama fedha iliyosafishwa mara saba. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Neno la Mwenyezi-Mungu ni safi, safi kama fedha iliyosafishwa katika tanuri, naam, kama fedha iliyosafishwa mara saba. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Maneno ya Mwenyezi Mungu ni safi, kama fedha iliyosafishwa katika tanuru, iliyosafishwa mara saba. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Maneno ya bwana ni safi, kama fedha iliyosafishwa katika tanuru, iliyosafishwa mara saba. Tazama sura |