Zaburi 119:93 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC93 Hata milele sitayasahau maagizo yako, Maana kwa hayo umenihuisha. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema93 Sitasahau kamwe kanuni zako, maana kwa hizo umenipa uhai. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND93 Sitasahau kamwe kanuni zako, maana kwa hizo umenipa uhai. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza93 Sitasahau kamwe kanuni zako, maana kwa hizo umenipa uhai. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu93 Sitasahau mausia yako kamwe, kwa maana kwayo umehifadhi maisha yangu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu93 Sitasahau mausia yako kamwe, kwa maana kwayo umehifadhi maisha yangu. Tazama sura |