Zaburi 119:92 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC92 Kama sheria yako isingalikuwa furaha yangu, Hapo ningalipotea katika mateso yangu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema92 Kama sheria yako isingekuwa furaha yangu, ningalikwisha angamia kwa taabu zangu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND92 Kama sheria yako isingekuwa furaha yangu, ningalikwisha angamia kwa taabu zangu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza92 Kama sheria yako isingekuwa furaha yangu, ningalikwisha angamia kwa taabu zangu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu92 Kama nisingefurahia sheria yako, ningeangamia katika taabu zangu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu92 Kama nisingefurahia sheria yako, ningeangamia katika taabu zangu. Tazama sura |