Zaburi 119:84 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC84 Siku za mtumishi wako ni ngapi, Lini utakapowahukumu wale wanaonifuatia? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema84 Mimi mtumishi wako nitasubiri mpaka lini? Utawaadhibu lini wale wanaonidhulumu? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND84 Mimi mtumishi wako nitasubiri mpaka lini? Utawaadhibu lini wale wanaonidhulumu? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza84 Mimi mtumishi wako nitasubiri mpaka lini? Utawaadhibu lini wale wanaonidhulumu? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu84 Mtumishi wako itampasa angoje hadi lini? Ni lini utawaadhibu washtaki wangu? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu84 Mtumishi wako itampasa angoje mpaka lini? Ni lini utawaadhibu washtaki wangu? Tazama sura |