Zaburi 119:83 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC83 Maana nimekuwa kama kiriba katika moshi, Sikuzisahau amri zako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema83 Nimekunjamana kama kiriba katika moshi, hata hivyo sijasahau masharti yako. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND83 Nimekunjamana kama kiriba katika moshi, hata hivyo sijasahau masharti yako. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza83 Nimekunjamana kama kiriba katika moshi, hata hivyo sijasahau masharti yako. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu83 Ingawa nimekuwa kama kiriba kwenye moshi, bado sijasahau maagizo yako. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu83 Ingawa nimekuwa kama kiriba kwenye moshi, bado sijasahau maagizo yako. Tazama sura |