Zaburi 119:71 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC71 Ilikuwa vema kwangu kuwa niliteswa, Nipate kujifunza amri zako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema71 Nimefaidika kutokana na taabu yangu, maana imenifanya nijifunze masharti yako. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND71 Nimefaidika kutokana na taabu yangu, maana imenifanya nijifunze masharti yako. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza71 Nimefaidika kutokana na taabu yangu, maana imenifanya nijifunze masharti yako. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu71 Ilikuwa vyema mimi kupata shida ili nipate kujifunza maagizo yako. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu71 Ilikuwa vyema mimi kupata shida ili nipate kujifunza maagizo yako. Tazama sura |