Zaburi 119:42 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC42 Nami nitamjibu neno anilaumuye, Kwa maana nilitumainia neno lako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema42 Hapo nitaweza kuwajibu hao wanaonitukana, maana mimi nina imani sana na neno lako. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND42 Hapo nitaweza kuwajibu hao wanaonitukana, maana mimi nina imani sana na neno lako. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza42 Hapo nitaweza kuwajibu hao wanaonitukana, maana mimi nina imani sana na neno lako. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu42 ndipo nitakapomjibu anayenidhihaki, kwa kuwa ninalitumainia neno lako. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu42 ndipo nitakapomjibu anayenidhihaki, kwa kuwa ninalitumainia neno lako. Tazama sura |