Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Zaburi 119:41 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

41 Ee BWANA, fadhili zako zinifikie na mimi, Naam, wokovu wako kulingana na ahadi yako.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

41 Fadhili zako zinijie, ee Mwenyezi-Mungu; uniokoe kama ulivyoahidi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

41 Fadhili zako zinijie, ee Mwenyezi-Mungu; uniokoe kama ulivyoahidi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

41 Fadhili zako zinijie, ee Mwenyezi-Mungu; uniokoe kama ulivyoahidi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

41 Ee Mwenyezi Mungu, upendo wako usiokoma unijie, wokovu wako sawasawa na ahadi yako,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

41 Ee bwana, upendo wako usiokoma unijie, wokovu wako sawasawa na ahadi yako,

Tazama sura Nakili




Zaburi 119:41
10 Marejeleo ya Msalaba  

Macho yangu yanafifia kwa kuungojea wokovu wako, Na kutimizwa kwa ahadi yako ya haki.


Unigeukie na kunirehemu, Kama ilivyo desturi yako kwa walipendalo jina lako.


Ee BWANA, nimeutamani wokovu wako, Na sheria yako ndiyo furaha yangu.


Hii ndiyo faraja yangu katika taabu yangu, Ya kwamba ahadi yako imenipa moyo.


Nimekuomba radhi kwa moyo wangu wote, Unifadhili kulingana na ahadi yako.


Nafsi yangu imefifia kwa kuutamani wokovu wako, Nimelitumainia neno lako.


Ee BWANA, unijibu, maana fadhili zako ni njema, Kwa kadiri ya rehema zako unielekee.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo