Zaburi 119:176 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC176 Nimetangatanga kama kondoo aliyepotea; Umtafute mtumishi wako; Kwa maana sikuyasahau maagizo yako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema176 Natangatanga kama kondoo aliyepotea; uje kunitafuta mimi mtumishi wako, maana sikusahau amri zako. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND176 Natangatanga kama kondoo aliyepotea; uje kunitafuta mimi mtumishi wako, maana sikusahau amri zako. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza176 Natangatanga kama kondoo aliyepotea; uje kunitafuta mimi mtumishi wako, maana sikusahau amri zako. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu176 Nimetangatanga kama kondoo aliyepotea. Mtafute mtumishi wako, kwa kuwa sijasahau amri zako. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu176 Nimetangatanga kama kondoo aliyepotea. Mtafute mtumishi wako, kwa kuwa sijasahau amri zako. Tazama sura |