Zaburi 119:171 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC171 Midomo yangu na itoe sifa, Kwa kuwa unanifundisha mausia yako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema171 Nitasema sifa zako mfululizo, maana wanifundisha masharti yako. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND171 Nitasema sifa zako mfululizo, maana wanifundisha masharti yako. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza171 Nitasema sifa zako mfululizo, maana wanifundisha masharti yako. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu171 Midomo yangu na ibubujike sifa, kwa kuwa unanifundisha maagizo yako. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu171 Midomo yangu na ibubujike sifa, kwa kuwa unanifundisha maagizo yako. Tazama sura |