Zaburi 119:166 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC166 Ee BWANA, nimeungojea wokovu wako, Na maagizo yako nimeyatenda. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema166 Ee Mwenyezi-Mungu, nakungojea uniokoe; mimi natimiza amri zako. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND166 Ee Mwenyezi-Mungu, nakungojea uniokoe; mimi natimiza amri zako. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza166 Ee Mwenyezi-Mungu, nakungojea uniokoe; mimi natimiza amri zako. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu166 Ee Mwenyezi Mungu, ninangojea wokovu wako, nami ninafuata amri zako, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu166 Ee bwana, ninangojea wokovu wako, nami ninafuata amri zako, Tazama sura |