Zaburi 119:162 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC162 Naifurahia ahadi yako, Kama apataye mateka mengi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema162 Nafurahi kwa sababu ya neno lako, kama mtu aliyekuta kitu cha thamani kuu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND162 Nafurahi kwa sababu ya neno lako, kama mtu aliyekuta kitu cha thamani kuu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza162 Nafurahi kwa sababu ya neno lako, kama mtu aliyekuta kitu cha thamani kuu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu162 Nafurahia ahadi zako kama mtu aliyepata mateka mengi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu162 Nafurahia ahadi zako kama mtu aliyepata mateka mengi. Tazama sura |