Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Zaburi 119:149 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

149 Kwa fadhili zako uisikie sauti yangu, Ee BWANA, uniokoe.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

149 Kwa fadhili zako, ee Mwenyezi-Mungu, unisikie; unisalimishe kwa uadilifu wako.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

149 Kwa fadhili zako, ee Mwenyezi-Mungu, unisikie; unisalimishe kwa uadilifu wako.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

149 Kwa fadhili zako, ee Mwenyezi-Mungu, unisikie; unisalimishe kwa uadilifu wako.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

149 Usikie sauti yangu sawasawa na upendo wako, Ee Mwenyezi Mungu, uyahifadhi maisha yangu, sawasawa na sheria zako.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

149 Usikie sauti yangu sawasawa na upendo wako, Ee bwana, uyahifadhi maisha yangu, sawasawa na sheria zako.

Tazama sura Nakili




Zaburi 119:149
12 Marejeleo ya Msalaba  

Na Wewe, MUNGU, Bwana, unitendee kwa ajili ya jina lako, Kwa kuwa fadhili zako ni njema uniokoe.


Unitetee na kunikomboa, Unihuishe sawasawa na ahadi yako.


Ee BWANA, rehema zako ni nyingi, Unihuishe sawasawa na hukumu zako.


Nafsi yangu imegandamia mavumbini, Unihuishe sawasawa na neno lako.


Tazama, nimeyatamani mausia yako, Unihuishe kwa haki yako.


Uniponye kwa fadhili zako, Nami nitazishika shuhuda za kinywa chako.


Ee Mungu, unirehemu, kulingana na fadhili zako. Kiasi cha wingi wa rehema zako, Uyafute makosa yangu.


Unisikilize na kunijibu, Nimetangatanga nikilalama na kuugua.


Mungu, uisikie sauti yangu katika malalamiko yangu; Unilinde uhai wangu kutoka kwa hofu ya adui.


Ee BWANA, unijibu, maana fadhili zako ni njema, Kwa kadiri ya rehema zako unielekee.


Nitautaja wema wa BWANA, sifa za BWANA kwa yote aliyotukirimia BWANA; na wingi wa wema wake kwa nyumba ya Israeli, aliowakirimia kwa rehema zake, na kwa wingi wa wema wake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo