Zaburi 119:146 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC146 Nimekuita Wewe, uniokoe, Nami nitazishika shuhuda zako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema146 Nakulilia, unisalimishe; nipate kuyazingatia maamuzi yako. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND146 Nakulilia, unisalimishe; nipate kuyazingatia maamuzi yako. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza146 Nakulilia, unisalimishe; nipate kuyazingatia maamuzi yako. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu146 Ninakuita; niokoe nami nitazishika sheria zako. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu146 Ninakuita; niokoe nami nitazishika sheria zako. Tazama sura |