Zaburi 119:143 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC143 Taabu na dhiki zimenipata, Maagizo yako ni furaha yangu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema143 Taabu na huzuni vimenipata, lakini amri zako ndizo furaha yangu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND143 Taabu na huzuni vimenipata, lakini amri zako ndizo furaha yangu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza143 Taabu na huzuni vimenipata, lakini amri zako ndizo furaha yangu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu143 Shida na dhiki zimenipata, lakini amri zako ni furaha yangu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu143 Shida na dhiki zimenipata, lakini amri zako ni furaha yangu. Tazama sura |