Zaburi 119:120 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC120 Mwili wangu unatetemeka kwa kukucha Wewe, Nami ninaziogopa hukumu zako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema120 Natetemeka kwa kukuogopa wewe; nimejaa hofu kwa sababu ya hukumu zako. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND120 Natetemeka kwa kukuogopa wewe; nimejaa hofu kwa sababu ya hukumu zako. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza120 Natetemeka kwa kukuogopa wewe; nimejaa hofu kwa sababu ya hukumu zako. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu120 Mwili wangu unatetemeka kwa kukuogopa wewe, ninaziogopa sheria zako. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu120 Mwili wangu unatetemeka kwa kukuogopa wewe, ninaziogopa sheria zako. Tazama sura |