Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Zaburi 118:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

9 Ni heri kumkimbilia BWANA. Kuliko kuwatumainia wakuu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 Afadhali kukimbilia usalama kwa Mwenyezi-Mungu, kuliko kuwatumainia viongozi wa dunia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 Afadhali kukimbilia usalama kwa Mwenyezi-Mungu, kuliko kuwatumainia viongozi wa dunia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 Afadhali kukimbilia usalama kwa Mwenyezi-Mungu, kuliko kuwatumainia viongozi wa dunia.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 Ni bora kumkimbilia Mwenyezi Mungu kuliko kuwatumainia wakuu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

9 Ni bora kumkimbilia bwana kuliko kuwatumainia wakuu.

Tazama sura Nakili




Zaburi 118:9
8 Marejeleo ya Msalaba  

Ole wao wateremkao kwenda Misri wapate msaada, na kutegemea farasi; watumainio magari kwa kuwa ni mengi, na wapanda farasi kwa kuwa ni hodari sana; lakini hawamwangalii Mtakatifu wa Israeli, wala hawamtafuti BWANA!


Ndipo huyo Mwashuri ataanguka kwa upanga ambao si wa mtu; na upanga usio upanga wa mtu utamwangamiza; naye ataukimbia upanga, na vijana wake watatoa kodi.


Walipokushika kwa mkono wako, ulivunjika, ukawararua mabega yao yote; nao walipokutegemea, ulivunjika, ukawatetemesha viuno vyao vyote.


Yakini sasa watasema, Hatuna mfalme; kwa maana hatumchi BWANA; na mfalme huyu je! Aweza kututendea nini?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo