Zaburi 118:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC8 Ni heri kumkimbilia BWANA Kuliko kuwatumainia wanadamu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Afadhali kukimbilia usalama kwa Mwenyezi-Mungu, kuliko kumtumainia mwanadamu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Afadhali kukimbilia usalama kwa Mwenyezi-Mungu, kuliko kumtumainia mwanadamu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Afadhali kukimbilia usalama kwa Mwenyezi-Mungu, kuliko kumtumainia mwanadamu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Ni bora kumkimbilia Mwenyezi Mungu kuliko kumtumainia mwanadamu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Ni bora kumkimbilia bwana kuliko kumtumainia mwanadamu. Tazama sura |