Zaburi 118:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 Wamchao BWANA na waseme sasa, Ya kwamba fadhili zake ni za milele. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Wote wamchao Mwenyezi-Mungu na waseme: “Fadhili zake zadumu milele.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Wote wamchao Mwenyezi-Mungu na waseme: “Fadhili zake zadumu milele.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Wote wamchao Mwenyezi-Mungu na waseme: “Fadhili zake zadumu milele.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Wote wanaomcha Mwenyezi Mungu na waseme sasa: “Fadhili zake zadumu milele.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Wote wamchao bwana na waseme sasa: “Upendo wake wadumu milele.” Tazama sura |