Zaburi 118:25 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC25 Ee BWANA, utuokoe, twakusihi; Ee BWANA, utufanikishe, twakusihi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema25 Tafadhali utuokoe, ee Mwenyezi-Mungu! Tafadhali utufanikishe, ee Mwenyezi-Mungu! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 Tafadhali utuokoe, ee Mwenyezi-Mungu! Tafadhali utufanikishe, ee Mwenyezi-Mungu! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 Tafadhali utuokoe, ee Mwenyezi-Mungu! Tafadhali utufanikishe, ee Mwenyezi-Mungu! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu25 Ee Mwenyezi Mungu, tuokoe, Ee Mwenyezi Mungu, utujalie mafanikio. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu25 Ee bwana, tuokoe, Ee bwana, utujalie mafanikio. Tazama sura |