Zaburi 118:23 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC23 Neno hili limetoka kwa BWANA, Nalo ni ajabu machoni petu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 Hiyo ni kazi yake Mwenyezi-Mungu nayo ni ya ajabu sana kwetu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 Hiyo ni kazi yake Mwenyezi-Mungu nayo ni ya ajabu sana kwetu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 Hiyo ni kazi yake Mwenyezi-Mungu nayo ni ya ajabu sana kwetu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 Mwenyezi Mungu ametenda hili, nalo ni la kushangaza machoni petu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 bwana ametenda hili, nalo ni la kushangaza machoni petu. Tazama sura |