Zaburi 118:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC19 Nifungulieni malango ya haki, Nitaingia na kumshukuru BWANA. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Nifungulie milango ya watu waadilifu, niingie na kumshukuru Mwenyezi-Mungu! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Nifungulie milango ya watu waadilifu, niingie na kumshukuru Mwenyezi-Mungu! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Nifungulie milango ya watu waadilifu, niingie na kumshukuru Mwenyezi-Mungu! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Nifungulie malango ya haki, nami nitaingia na kumshukuru Mwenyezi Mungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Nifungulie malango ya haki, nami nitaingia na kumshukuru bwana. Tazama sura |