Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Zaburi 118:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

18 BWANA ameniadhibu sana, Lakini hakuniacha nife.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

18 Mwenyezi-Mungu ameniadhibu sana, lakini hakuniacha nife.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

18 Mwenyezi-Mungu ameniadhibu sana, lakini hakuniacha nife.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

18 Mwenyezi-Mungu ameniadhibu sana, lakini hakuniacha nife.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

18 Mwenyezi Mungu ameniadhibu vikali, lakini hakuniacha nife.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

18 bwana ameniadhibu vikali, lakini hakuniacha nife.

Tazama sura Nakili




Zaburi 118:18
14 Marejeleo ya Msalaba  

Basi, sasa upanga hautaondoka nyumbani mwako, kwa sababu umenidharau, ukamtwaa mkewe Uria, Mhiti, kuwa mke wako.


Wakati wa njaa atakukomboa na mauti; Na vitani atakukomboa na nguvu za upanga.


Nilishuka hata pande za chini za milima; Hiyo nchi ambayo mapingo yake yanafunga hata milele; Lakini umeipandisha nafsi yangu kutoka humo shimoni, Ee BWANA, Mungu wangu,


Ila tuhukumiwapo, twarudiwa na Bwana, isije ikatupasa adhabu pamoja na dunia.


kama wasiojulikana, bali wajulikanao sana; kama wanaokufa, kumbe tu hai; kama wanaorudiwa, bali wasiouawa;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo