Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Zaburi 118:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

14 BWANA ni nguvu zangu na wimbo wangu, Naye amekuwa wokovu wangu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

14 Mwenyezi-Mungu ni nguvu yangu kuu; yeye mwenyewe ndiye wokovu wangu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

14 Mwenyezi-Mungu ni nguvu yangu kuu; yeye mwenyewe ndiye wokovu wangu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

14 Mwenyezi-Mungu ni nguvu yangu kuu; yeye mwenyewe ndiye wokovu wangu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

14 Mwenyezi Mungu ni nguvu yangu na wimbo wangu, yeye amefanyika wokovu wangu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

14 bwana ni nguvu yangu na wimbo wangu, yeye amefanyika wokovu wangu.

Tazama sura Nakili




Zaburi 118:14
7 Marejeleo ya Msalaba  

BWANA ni jabali langu, na boma langu, na mwokozi wangu, Mungu wangu, mwamba wangu ninayemkimbilia, Ngao yangu, na pembe ya wokovu wangu, na ngome yangu.


BWANA ni nuru yangu na wokovu wangu, Nimwogope nani? BWANA ni ngome ya uzima wangu, Nimhofu nani?


Tazama, Mungu ndiye wokovu wangu; Nitatumaini wala sitaogopa; Maana BWANA YEHOVA ni nguvu zangu na wimbo wangu; Naye amekuwa wokovu wangu.


Bali Israeli wataokolewa na BWANA kwa wokovu wa milele; ninyi hamtatahayarika, wala kufadhaika, milele na milele.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo