Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Zaburi 117:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

1 Haleluya. Enyi mataifa yote, msifuni BWANA, Enyi watu wote, mhimidini.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

1 Enyi mataifa yote, msifuni Mwenyezi-Mungu! Enyi watu wote mhimidini!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

1 Enyi mataifa yote, msifuni Mwenyezi-Mungu! Enyi watu wote mhimidini!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

1 Enyi mataifa yote, msifuni Mwenyezi-Mungu! Enyi watu wote mhimidini!

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

1 Msifuni Mwenyezi Mungu, enyi mataifa yote; mtukuzeni yeye, enyi watu wote.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

1 Msifuni bwana, enyi mataifa yote; mtukuzeni yeye, enyi watu wote.

Tazama sura Nakili




Zaburi 117:1
12 Marejeleo ya Msalaba  

Kila mwenye pumzi na amsifu BWANA. Haleluya.


Mpigie Mungu kelele za shangwe, nchi yote,


Nchi yote itakusujudia na kukuimbia, Naam, italiimbia jina lako.


Watu na wakushukuru, Ee Mungu, Watu wote na wakushukuru.


Mataifa yote uliyoyaumba watakuja; Watakusujudia Wewe, Bwana, Watalitukuza jina lako;


Na tena, Enyi Mataifa yote, msifuni Bwana; Enyi watu wote, mhimidini.


Ni nani asiyekucha, Ee Bwana, na kulitukuza jina lako? Kwa kuwa wewe peke yako u Mtakatifu; kwa maana mataifa yote watakuja na kusujudu mbele zako; kwa kuwa matendo yako ya haki yamekwisha kufunuliwa.


Nao waimba wimbo mpya wakisema, Wastahili wewe kukitwaa hicho kitabu na kuifungua mihuri yake; kwa kuwa ulichinjwa, ukawa fidia kwa Mungu na kwa damu yako watu wa kila kabila na lugha na jamaa na taifa,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo