Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Zaburi 116:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

8 Maana umeniponya nafsi yangu na mauti, Macho yangu na machozi, Na miguu yangu na kuanguka.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

8 Ameniokoa kifoni na kufuta machozi yangu; akanilinda nisije nikaanguka.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

8 Ameniokoa kifoni na kufuta machozi yangu; akanilinda nisije nikaanguka.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

8 Ameniokoa kifoni na kufuta machozi yangu; akanilinda nisije nikaanguka.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

8 Kwa kuwa wewe, Ee Mwenyezi Mungu, umeniokoa nafsi yangu na mauti, macho yangu kutokana na machozi, miguu yangu kutokana na kujikwaa,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

8 Kwa kuwa wewe, Ee bwana, umeniokoa nafsi yangu na mauti, macho yangu kutokana na machozi, miguu yangu kutokana na kujikwaa,

Tazama sura Nakili




Zaburi 116:8
10 Marejeleo ya Msalaba  

Ajapojikwaa hataanguka chini, Maana BWANA humshika mkono na kumtegemeza.


Bali Mungu atanikomboa nafsi yangu, Atanitoa mkononi mwa kuzimu, maana atanipokea.


Maana umeniponya nafsi yangu na mauti; Je! Hukuizuia miguu yangu isianguke? Ili niende mbele za Mungu Katika nuru ya walio hai.


Maana fadhili zako kwangu ni nyingi sana; Umeiopoa nafsi yangu na kuzimu.


Niliposema, Mguu wangu unateleza; Ee BWANA, fadhili zako zilinitegemeza.


Amemeza mauti hata milele; na Bwana MUNGU atafuta machozi katika nyuso zote; na aibu ya watu wake ataiondoa katika ulimwengu wote; maana BWANA amenena hayo.


Nenda ukamwambie Hezekia, BWANA, Mungu wa Daudi, baba yako, asema hivi, Mimi nimeyasikia maombi yako, nimeyaona machozi yako; tazama, nitaziongeza siku zako, kiasi cha miaka kumi na mitano.


Naye atafuta kila chozi katika macho yao, wala mauti haitakuwapo tena; wala maombolezo, wala kilio, wala maumivu hayatakuwapo tena; kwa kuwa mambo ya kwanza yamekwisha kupita.


Kwa maana huyo Mwana-kondoo, aliye katikati ya kiti cha enzi, atawachunga, naye atawaongoza kwenye chemchemi za maji yenye uhai, na Mungu atayafuta machozi yote katika macho yao.


Hao wapelelezi walimwona mtu atoka katika huo mji, wakamwambia, Tafadhali, utuoneshe njia ya kuingia mji huu, nasi tutakutendea mema.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo