Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Zaburi 116:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

7 Ee nafsi yangu, urudi pumzikoni mwako, Kwa kuwa BWANA amekutendea ukarimu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

7 Uwe na utulivu mkuu, ee nafsi yangu, maana Mwenyezi-Mungu amenitendea mema.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

7 Uwe na utulivu mkuu, ee nafsi yangu, maana Mwenyezi-Mungu amenitendea mema.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

7 Uwe na utulivu mkuu, ee nafsi yangu, maana Mwenyezi-Mungu amenitendea mema.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

7 Ee nafsi yangu, tulia tena, kwa kuwa Mwenyezi Mungu amekuwa mwema kwako.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

7 Ee nafsi yangu, tulia tena, kwa kuwa bwana amekuwa mwema kwako.

Tazama sura Nakili




Zaburi 116:7
8 Marejeleo ya Msalaba  

Umtendee mtumishi wako ukarimu, Nipate kuishi, nami nitalitii neno lako.


Naam, nitamwimbia BWANA, Kwa kuwa amenitendea kwa ukarimu.


Ndipo Nikaapa kwa hasira yangu Hawataingia katika pumziko langu.


Kwa sababu hiyo usiogope, Ee Yakobo, mtumishi wangu, asema BWANA; wala usifadhaike, Ee Israeli; kwa maana, tazama, nitakuokoa toka mbali, na wazao wako toka nchi ya uhamisho wao; na Yakobo atarudi, naye atatulia na kustarehe, wala hapana mtu atakayemtia hofu.


BWANA asema hivi, Simameni katika njia kuu, mkaone, mkaulize habari za mapito ya zamani, Iko wapi njia iliyo njema? Mkaende katika njia hiyo, nanyi mtajipatia raha katika nafsi zenu. Lakini walisema, Hatutaki kwenda katika njia hiyo.


Naye atawafuata wapenzi wake, lakini hatawapata; atawatafuta, lakini hatawaona; ndipo atakaposema, Nitakwenda nikamrudie mume wangu wa kwanza; kwa maana hali yangu ya zamani ilikuwa njema kuliko hali yangu ya sasa.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo