Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Zaburi 116:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

4 Nikaliitia jina la BWANA. Ee BWANA, nakuomba sana, Uniokoe nafsi yangu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 Kisha nikamlilia Mwenyezi-Mungu: “Ee Mwenyezi-Mungu, tafadhali unisalimishe!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 Kisha nikamlilia Mwenyezi-Mungu: “Ee Mwenyezi-Mungu, tafadhali unisalimishe!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 Kisha nikamlilia Mwenyezi-Mungu: “Ee Mwenyezi-Mungu, tafadhali unisalimishe!”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 Ndipo nikaliitia jina la Mwenyezi Mungu: “Ee Mwenyezi Mungu, niokoe!”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 Ndipo nikaliitia jina la bwana: “Ee bwana, niokoe!”

Tazama sura Nakili




Zaburi 116:4
20 Marejeleo ya Msalaba  

Katika shida yangu nilimwita BWANA; BWANA akanijibu akaniweka panapo nafasi.


Katika shida yangu nilimwita BWANA, Na kumlalamikia Mungu wangu. Akaisikia sauti yangu hekaluni mwake, Kilio changu kikaingia masikioni mwake.


Uniponye nafsi yangu na upanga, Mpenzi wangu na nguvu za mbwa.


Uniondolee shida za moyo wangu, Na kunitoa katika dhiki zangu.


Maskini huyu aliita, BWANA akasikia, Akamwokoa na taabu zake zote.


Uniite siku ya mateso; Nitakuokoa, nawe utanitukuza.


BWANA urudi, uniopoe nafsi yangu, Uniokoe kwa ajili ya fadhili zako.


Maana mautini hapana kumbukumbu lako; Katika kuzimu ni nani atakayekushukuru?


Lakini yule mtoza ushuru alisimama mbali, wala hakuthubutu hata kuinua macho yake mbinguni, bali alijipigapiga kifua akisema, Ee Mungu, uniwie radhi mimi mwenye dhambi.


Yesu naye alikuwa amealikwa arusini pamoja na wanafunzi wake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo