Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Zaburi 116:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

12 Nimrudishie BWANA nini Kwa ukarimu wake wote alionitendea?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

12 Nimrudishie nini Mwenyezi-Mungu, kwa ukarimu wote alionitendea?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

12 Nimrudishie nini Mwenyezi-Mungu, kwa ukarimu wote alionitendea?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

12 Nimrudishie nini Mwenyezi-Mungu, kwa ukarimu wote alionitendea?

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

12 Nimrudishie Mwenyezi Mungu nini kwa wema wake wote alionitendea?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

12 Nimrudishie bwana nini kwa wema wake wote alionitendea?

Tazama sura Nakili




Zaburi 116:12
8 Marejeleo ya Msalaba  

Walakini Hezekia hakuwa na shukrani kadiri alivyofadhiliwa; kwa kuwa moyo wake ulijawa na kiburi; kwa hiyo ikawako hasira juu yake, na juu ya Yuda na Yerusalemu.


Ee nafsi yangu, umhimidi BWANA, Wala usizisahau fadhili zake zote.


Nimwendee BWANA na kitu gani, na kuinama mbele za Mungu aliye juu? Je! Nimwendee na sadaka za kuteketezwa, na ndama wa umri wa mwaka mmoja?


Basi, ndugu zangu, nawasihi, kwa huruma zake Mungu, itoeni miili yenu iwe dhabihu iliyo hai, takatifu, ya kumpendeza Mungu, ndiyo ibada yenu yenye maana.


maana mlinunuliwa kwa thamani. Sasa basi, mtukuzeni Mungu katika miili yenu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo