Zaburi 115:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC17 Wafu hawamsifu Mungu BWANA, Wala yeyote ashukaye kwenye kimya; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Wafu hawamsifu Mwenyezi-Mungu, wala wale wanaoshuka katika nchi ya kimya. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Wafu hawamsifu Mwenyezi-Mungu, wala wale wanaoshuka katika nchi ya kimya. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Wafu hawamsifu Mwenyezi-Mungu, wala wale wanaoshuka katika nchi ya kimya. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Sio wafu wanaomsifu Mwenyezi Mungu, wale wanaoshuka mahali pa kimya, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Sio wafu wanaomsifu bwana, wale washukao mahali pa kimya, Tazama sura |