Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Zaburi 115:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

12 BWANA ametukumbuka, Naye atatubariki sisi. Ataubariki mlango wa Israeli, Ataubariki mlango wa Haruni,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

12 Mwenyezi-Mungu atukumbuka na atatubariki; atawabariki watu wa Israeli, atawabariki wazawa wa Aroni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

12 Mwenyezi-Mungu atukumbuka na atatubariki; atawabariki watu wa Israeli, atawabariki wazawa wa Aroni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

12 Mwenyezi-Mungu atukumbuka na atatubariki; atawabariki watu wa Israeli, atawabariki wazawa wa Aroni.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

12 Mwenyezi Mungu anatukumbuka na atatubariki: ataibariki nyumba ya Israeli, ataibariki nyumba ya Haruni,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

12 bwana anatukumbuka na atatubariki: ataibariki nyumba ya Israeli, ataibariki nyumba ya Haruni,

Tazama sura Nakili




Zaburi 115:12
16 Marejeleo ya Msalaba  

Na Mungu akamkumbuka Nuhu, na kila kilicho hai, na wanyama wote waliokuwamo pamoja naye katika safina; Mungu akavumisha upepo juu ya nchi, maji yakapungua;


Enyi mlango wa Israeli, mhimidini BWANA; Enyi mlango wa Haruni, mhimidini BWANA;


Aliyetukumbuka katika unyonge wetu; Kwa maana fadhili zake ni za milele.


Usiyakumbuke makosa ya ujana wangu, Wala maasi yangu. Unikumbuke kwa kadiri ya fadhili zako, Ee BWANA kwa ajili ya wema wako.


Mungu atatubariki sisi; Miisho yote ya dunia itamcha Yeye.


Kumbuka haya, Ee Yakobo; nawe Israeli, maana wewe u mtumishi wangu; nimekuumba; u mtumishi wangu; Ee Israeli, hutasahauliwa na mimi.


Ndivyo watakavyoweka jina langu juu ya wana wa Israeli; nami nitawabariki.


Akamkodolea macho, akaogopa akasema, Kuna nini, Bwana? Akamwambia, Sala zako na sadaka zako zimefika juu na kuwa ukumbusho mbele za Mungu.


Mungu, akiisha kumfufua mtumishi wake Yesu, alimtuma kwenu ninyi kwanza, ili kuwabariki kwa kumwepusha kila mmoja wenu na maovu yake.


ili kwamba baraka ya Abrahamu iwafikie Mataifa katika Yesu Kristo, tupate kupokea ahadi ya Roho kwa njia ya imani.


Na kama ninyi ni wa Kristo, basi, mmekuwa uzao wa Abrahamu, na warithi kulingana na ahadi.


Atukuzwe Mungu, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo, aliyetubariki kwa baraka zote za rohoni, katika ulimwengu wa roho, ndani yake Kristo;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo