Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Zaburi 115:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

11 Enyi mmchao BWANA, mtumainini BWANA; Yeye ni msaada wao na ngao yao.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 Enyi mnaomcha Mwenyezi-Mungu, mtumainini, yeye ndiye msaada wenu na ngao yenu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 Enyi mnaomcha Mwenyezi-Mungu, mtumainini, yeye ndiye msaada wenu na ngao yenu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 Enyi mnaomcha Mwenyezi-Mungu, mtumainini, yeye ndiye msaada wenu na ngao yenu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 Ninyi mnaomcha, mtumainini Mwenyezi Mungu, yeye ni msaada na ngao yao.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 Ninyi mnaomcha, mtumainini bwana, yeye ni msaada na ngao yao.

Tazama sura Nakili




Zaburi 115:11
11 Marejeleo ya Msalaba  

Maana, kama mbingu zilivyoinuka juu ya nchi, Ndivyo fadhili zake zilivyo kuu kwa wamchao.


Israeli na aseme sasa, Ya kwamba fadhili zake ni za milele.


Wamchao BWANA na waseme sasa, Ya kwamba fadhili zake ni za milele.


Enyi mlango wa Israeli, mhimidini BWANA; Enyi mlango wa Haruni, mhimidini BWANA;


BWANA huwaridhia wao wamchao, Na kuzitarajia fadhili zake.


Ninyi mnaomcha BWANA, msifuni, Enyi nyote mlio wazawa wa Yakobo, mtukuzeni, Mcheni, enyi nyote mlio wazawa wa Israeli.


Tazama, jicho la BWANA li kwao wamchao, Wazingojeao fadhili zake.


Kumcha BWANA ni tumaini imara; Watoto wake watakuwa na kimbilio.


Kila neno la Mungu limehakikishwa; Yeye ni ngao yao wamwaminio.


bali katika kila taifa mtu amchaye na kutenda haki hukubaliwa na yeye.


Sauti ikatoka katika kile kiti cha enzi ikisema, Msifuni Mungu wetu, enyi watumwa wake wote, ninyi mnaomcha, wadogo kwa wakubwa.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo