Zaburi 115:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 Enyi mlango wa Haruni, mtumainini BWANA; Yeye ni msaada wao na ngao yao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Enyi wazawa wa Aroni, mtumainieni Mwenyezi-Mungu; yeye ndiye msaada wenu na ngao yenu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Enyi wazawa wa Aroni, mtumainieni Mwenyezi-Mungu; yeye ndiye msaada wenu na ngao yenu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Enyi wazawa wa Aroni, mtumainieni Mwenyezi-Mungu; yeye ndiye msaada wenu na ngao yenu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Ee nyumba ya Haruni, mtumainini Mwenyezi Mungu, yeye ni msaada na ngao yao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Ee nyumba ya Haruni, mtumainini bwana, yeye ni msaada na ngao yao. Tazama sura |