Zaburi 115:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC1 Ee BWANA, kutukuza usitutukuze sisi, Bali ulitukuze jina lako, Kwa ajili ya fadhili zako, Kwa ajili ya uaminifu wako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Sio sisi, ee Mwenyezi-Mungu, sio sisi; bali wewe peke yako utukuzwe, kwa ajili ya fadhili zako na uaminifu wako. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Sio sisi, ee Mwenyezi-Mungu, sio sisi; bali wewe peke yako utukuzwe, kwa ajili ya fadhili zako na uaminifu wako. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Sio sisi, ee Mwenyezi-Mungu, sio sisi; bali wewe peke yako utukuzwe, kwa ajili ya fadhili zako na uaminifu wako. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Sio kwetu sisi, Ee Mwenyezi Mungu, sio kwetu sisi, bali utukufu ni kwa jina lako, kwa sababu ya upendo na uaminifu wako. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Sio kwetu sisi, Ee bwana, sio kwetu sisi, bali utukufu ni kwa jina lako, kwa sababu ya upendo na uaminifu wako. Tazama sura |