Zaburi 114:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Ee bahari, una nini, ndio ukimbie? Yordani, ndio urudi nyuma? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Ee bahari, imekuwaje hata ukakimbia? Nawe Yordani, kwa nini ukaacha kutiririka? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Ee bahari, imekuwaje hata ukakimbia? Nawe Yordani, kwa nini ukaacha kutiririka? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Ee bahari, imekuwaje hata ukakimbia? Nawe Yordani, kwa nini ukaacha kutiririka? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Ee bahari, ni nini kilichokufanya ukakimbia, nawe, ee Yordani, ukarudi nyuma, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Ee bahari, ni nini kilichokufanya ukakimbia, nawe, ee Yordani, ukarudi nyuma, Tazama sura |