Zaburi 111:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC6 Amewajulisha watu wake uwezo wa matendo yake, Kwa kuwapa urithi wa mataifa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Amewaonesha watu wake nguvu ya matendo yake, amewapa nchi za mataifa mengine ziwe mali yao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Amewaonesha watu wake nguvu ya matendo yake, amewapa nchi za mataifa mengine ziwe mali yao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Amewaonesha watu wake nguvu ya matendo yake, amewapa nchi za mataifa mengine ziwe mali yao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Amewaonesha watu wake uwezo wa kazi zake, akiwapa nchi za mataifa mengine. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Amewaonyesha watu wake uwezo wa kazi zake, akiwapa nchi za mataifa mengine. Tazama sura |
Basi watu wakapiga kelele, na makuhani wakazipiga tarumbeta; hata ikawa, hapo watu waliposikia mlio wa mabaragumu hao watu wakapiga kelele kwa sauti kuu sana, na ule ukuta wa mji ukaanguka chini kabisa, hata watu wakapanda juu, wakaingia katika mji, kila mtu akisonga mbele kukabili; wakautwaa huo mji.