Zaburi 111:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC1 Haleluya. Nitamshukuru BWANA kwa moyo wangu wote, Barazani pa wanyofu wa moyo na katika mkutano. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Msifuni Mwenyezi-Mungu! Nitamshukuru Mwenyezi-Mungu kwa moyo wangu wote, nikijumuika na jamii ya watu waadilifu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Msifuni Mwenyezi-Mungu! Nitamshukuru Mwenyezi-Mungu kwa moyo wangu wote, nikijumuika na jamii ya watu waadilifu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Msifuni Mwenyezi-Mungu! Nitamshukuru Mwenyezi-Mungu kwa moyo wangu wote, nikijumuika na jamii ya watu waadilifu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Msifuni Mwenyezi Mungu. Nitamtukuza Mwenyezi Mungu kwa moyo wangu wote, katika baraza la wanyofu na katika kusanyiko. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Msifuni bwana. Nitamtukuza bwana kwa moyo wangu wote, katika baraza la wanyofu na katika kusanyiko. Tazama sura |