Zaburi 11:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 BWANA humjaribu mwenye haki; Bali nafsi yake humchukia asiye haki, Na mwenye kupenda udhalimu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Mwenyezi-Mungu huwapima waadilifu na waovu; huwachukia kabisa watu wakatili. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Mwenyezi-Mungu huwapima waadilifu na waovu; huwachukia kabisa watu wakatili. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Mwenyezi-Mungu huwapima waadilifu na waovu; huwachukia kabisa watu wakatili. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Mwenyezi Mungu huwachunguza wenye haki, lakini nafsi yake inachukia waovu na wale wanaopenda mapigano. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 bwana huwajaribu wenye haki, lakini waovu na wanaopenda jeuri, nafsi yake huwachukia. Tazama sura |