Zaburi 11:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC2 Maana, tazama, wasio haki wanaupinda uta, Wanaitia mishale yao katika upote, Ili kuwapiga gizani wanyofu wa moyo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 maana waovu wanavuta pinde; wameweka mishale tayari juu ya uta, wawapige mshale watu wema gizani! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 maana waovu wanavuta pinde; wameweka mishale tayari juu ya uta, wawapige mshale watu wema gizani! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 maana waovu wanavuta pinde; wameweka mishale tayari juu ya uta, wawapige mshale watu wema gizani! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Hebu tazama, waovu wanapinda nyuta zao; wanaweka mishale kwenye nyuzi zake ili wakiwa gizani, wawapige walio wanyofu wa moyo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Hebu tazama, waovu wanapinda pinde zao, huweka mishale kwenye uzi wake, wakiwa gizani ili kuwapiga wale wanyofu wa moyo. Tazama sura |