Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Zaburi 109:30 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

30 Nitamshukuru BWANA kwa kinywa changu, Naam, nitamsifu katikati ya mkutano.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

30 Nitamshukuru sana Mwenyezi-Mungu kwa sauti; nitamsifu kati ya kundi kubwa la watu,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

30 Nitamshukuru sana Mwenyezi-Mungu kwa sauti; nitamsifu kati ya kundi kubwa la watu,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

30 Nitamshukuru sana Mwenyezi-Mungu kwa sauti; nitamsifu kati ya kundi kubwa la watu,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

30 Kwa kinywa changu nitamtukuza sana Mwenyezi Mungu, katika umati mkubwa nitamsifu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

30 Kwa kinywa changu nitamtukuza sana bwana, katika umati mkubwa nitamsifu.

Tazama sura Nakili




Zaburi 109:30
12 Marejeleo ya Msalaba  

Na wamtukuze katika kusanyiko la watu, Na wamhimidi katika baraza la wazee.


Haleluya. Nitamshukuru BWANA kwa moyo wangu wote, Barazani pa wanyofu wa moyo na katika mkutano.


Nitakushukuru kwa moyo wangu wote, Mbele ya miungu nitakuimbia zaburi.


Ee BWANA, wafalme wote wa dunia watakushukuru, Watakapoyasikia maneno ya kinywa chako.


Nitakushukuru katika kusanyiko kubwa; Nitakusifu kati ya watu wengi.


Nitamshukuru BWANA kwa kadiri ya haki yake; Nitaliimbia jina la BWANA aliye juu.


Nitamshukuru BWANA kwa moyo wangu wote; Nitayasimulia matendo yako yote ya ajabu;


akisema, Nitalihubiri jina lako kwa ndugu zangu; Katikati ya kanisa nitakuimbia sifa.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo