Zaburi 109:27 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC27 Nao wakajue ya kuwa huu ni mkono wako; Wewe, BWANA, umeyafanya hayo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema27 Waoneshe watu kuwa ndiwe uliyetenda hayo, wewe, ee Mwenyezi-Mungu, ndiwe uliyefanya hivyo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND27 Waoneshe watu kuwa ndiwe uliyetenda hayo, wewe, ee Mwenyezi-Mungu, ndiwe uliyefanya hivyo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza27 Waoneshe watu kuwa ndiwe uliyetenda hayo, wewe, ee Mwenyezi-Mungu, ndiwe uliyefanya hivyo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu27 Watu na wafahamu kuwa ni mkono wako, kwamba wewe, Ee Mwenyezi Mungu, umetenda hili. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu27 Watu na wafahamu kuwa ni mkono wako, kwamba wewe, Ee bwana, umetenda hili. Tazama sura |