Zaburi 109:24 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC24 Magoti yangu yamedhoofu kwa kufunga, Na mwili wangu umekonda kwa kukosa mafuta. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema24 Magoti yangu yamenyongonyea kwa mfungo; nimebaki mifupa na ngozi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND24 Magoti yangu yamenyongonyea kwa mfungo; nimebaki mifupa na ngozi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza24 Magoti yangu yamenyong'onyea kwa mfungo; nimebaki mifupa na ngozi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu24 Magoti yangu yamelegea kwa kufunga, mwili wangu umedhoofika na kukonda. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu24 Magoti yangu yamelegea kwa kufunga, mwili wangu umedhoofika na kukonda. Tazama sura |