Zaburi 109:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC19 Na iwe kwake kama vazi ajivikalo, Na kama mshipi ajifungao daima. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Laana zimfunike kama nguo, zimzunguke daima kama ukanda. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Laana zimfunike kama nguo, zimzunguke daima kama ukanda. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Laana zimfunike kama nguo, zimzunguke daima kama ukanda. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Na iwe kama joho alilozungushiwa, kama mshipi aliofungiwa daima. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Na iwe kama joho alilozungushiwa, kama mshipi aliofungiwa daima. Tazama sura |